kauli
Kategoria : Nomino
Ngeli : [i-/zi-]
Entimologia : Kiarabu
maneno yanayosemwa
fikira za mtu kuhusu jambo fulani
uamuzi wa mwisho
' Katika suala hili kaka ndiye mwenye kauli.'
Visawe
usemi
tamko
maoni
Nahau
kata kauli
' -toweza kusema wakati wa kukata roho'