bumu1

Kategoria : Nomino
Ngeli : [li-/ya-]
  1. jahazi la kizamani

bumu2

Kategoria : Nomino
Ngeli : [a-/wa-]
  1. ndege mkubwa mwenye macho makubwa anayeruka usiku na hudhaniwa kwamba huleta msiba
Visawe
  1. bundi
  2. babewana
  3. vumatiti