bundi

Kategoria : Nomino
Ngeli : [a-/wa-]
  1. ndege mkubwa mwenye macho makubwa anayeruka usiku tu na anayedhaniwa kuleta msiba
Visawe
  1. bumu
  2. babewana
  3. vumatiti